2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK12 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=ร6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
------------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA ๐น๐ฟ