2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
300,000 KIMARA STOP OVER
UMBALI DAKIKA 5 KWA MGUU
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA SANA VYA KULALA
PUBLIC TOILET YA NDANI
JIKO KUBWA OPEN KITCHEN
SEBULE KUBWA SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI PIA YAKO YANAFLOW NDANI
KODI 300,000X6
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637