2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*VYUMBA 2 VYA KULALA, SEBULE, SEEMU YA JIKO NDANI, JIKO LAKO NJE, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI#HAKUNA MASTER BEDROOM
*NYUMBA IKO KWENYE NUSU FENSI, LUKU YA KUSHEA WA 3, NA KILA MMOJA ANA SUB METER YAKE
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 200,000/= KWA MWEZI
=======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
DALALI KISMATI UBUNGO ๐คซ ๐ฅ
0772850032