2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA YA JUU IPO WAZI 
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER 
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI 
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO 
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BAJAJI /500 UKISHUKA TU DK 3 UPO GETINI
#BEI NI 320,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085
0782838336



















