2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI INA PANGISHWA KIMARA TEMBONI
UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MGUU
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
NA SEHEMU YA KUPIKIA
KODI 250,000X3
AU 200,000X6
UMEME LUKU WAWILI
MAJI WAWILI
MAJI YANAFLOW NDANI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
IPO NDANI YA FENSI ILA IMEJENGWA UPANDE MMOJA NDO WANAMALIZIA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI