2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location kimara korongwe km1
Kodi 1,000,000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 2 moja ni master bedroom
Sitting room kubwa
Kitchen with cabinet
Public toilet
Full A/C ndani
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo mita yake
Paving block
Parking space fency
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















