2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(300,000X6)KIMARA BARUTI 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 500, BODA ELF MOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
✔️VYUMBA VIWILI
✔️ KIMOJAWAPO MASTER
✔️SEBULE
✔️JIKO
✔️ PUBLIC TOILET
✔️NDANI YA FENCE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA BARUTI KLM 1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI /500 UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE GETI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453