2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI KUBWA SANA INA PANGISHWA 300K
LOCATION: KIMARA SUKA
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
PUBLIC TOILET YA NDANI haina master
JIKO KUBWA SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
KODI 300,000X6
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2
USAFILI BAJAJI 700
BODABODA 1000
UKISHUKA DAKIKA 2 UPO KWAKO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=======
0784810004
0713545127 WhatsApp