2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU IMELIPIWA MOJA SA IVI IMEBAKIA MOJA
.
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK13 TU KWA MIGUU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
--------
Sifa zake
========
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa.
Jiko la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
----------
Service charge 15,000/=
.
Kodi 350,000/=×6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
------------
Contact
0742260844
0657384670
.
KIUMBE REAL ESTATE AGENT
.
Epuka matapeli fanya kazi na madalali wenye office na waliosajiliwa