2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(300,000 × 6) #KIMARA_MWISHO
HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPOUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI LEO TAREHE 29/07/2025
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#PUBLIC TOILET
#NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI INAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO km 1 .6 KUTOKA MWENDOKASI
BAJAJI/1000/DALADALA/500 UKISHUKA TU DK 4 TU UPO GETINI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300