2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1
USAFILI NI BAJAJI 700/
UKISHUKA TU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE GETI
====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI SEBULE KUBWA SANA
DAINING CHOO NI PABLIC HAKUNA MASTER
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
PAKING SPESI KUBWA SANA
====
KODI 300,000/=X4
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI