2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA KIMARA SUKA 200,000 X4
UMBALI KM 2, 5
ILIPWE LAKI 2 MALIPO MIEZI 4
NYUMBA IPO KIMARA SUKA BAJAJI 700/=UMBALI KM 2..5
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VIKIKUBWA MASTER
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIPO CHUMBANI
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#MAZINGIRA TULIVU
TYRIES GYPSUM MADIRISHA KIOO
ALUMINIUM
#UMEME LUKU YAKO NA MAJI YAKO
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15000
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI