2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KM1.5 KUTOKA LAMI INAKUWA WAZI TAR 30.10.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
-----
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000X6
-------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
--------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big__kimara🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏