2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#NYUMBA KUBWA NZURI SANA INAPANGISHWA #KIMARA_BUCHA 
#KODI 300,000X6 
UMBALI TOKA MWENDO KASI NI DAKIKA 4 KWA MGUU
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA 
KIMOJA MASTER 
SEBULE KUBWA SANA 
JIKO OPEN KITCHEN 
PUBLIC TOILET YA NDANI 
#NYUMBA HAIPO NDANI YA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA NA GARI INAFIKA HADI MLANGONI 
UMEME LUKU YAKO 
MAJI MITA YAKO
TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO 
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000 
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
NYUMBA HII INAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 17/5/2025
TUKIMKUTA MPANGAJI UTAONA NDANI
=====
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0765-494343
0683-387747




















