2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT 4 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1.5 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-------
Service charge 20,000/=
Kodi 400,000X6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
---------
Contact
#๐๐๐๐ก๐ _๐ด๐๐ call..O677370515