2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, DINNING, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*STAND ALONE, NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA, LUKU YA KUSHEA KWA MDA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 270,000/= KWA MWEZI
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/= Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
______________________________
# Simu 0757 404087