2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTIMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO KIMARA SUKA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 13 KUTEMBEA BODA BUKU
PIA UNAWEZA KUPITIA TEMBONI DK 12 KUTEMBEA
MUUNDO
VYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO PUBLIC TOILET INABARAZA MBILI MBELE NA NYUMA
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCKS
NYUMBA ZIPO TANO NDANI YA FENSI MOJA KILA NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 350,000 X 7
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CALL
0753454167
0679447338