2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(350,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗨𝗧𝗜
HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPOUND MOJA NA HII MOJA IPO WAZI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI KUBWA LENYE KABATI
#CHOO KIZURI CHA FAMILIA NA WAGENI
#LUKU NA MITER YA MAJI INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA BARUTI 𝗞𝗺 1.5 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI 500 TU UKISHUKA DK 1 UPO GETINI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300