2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(250,000 ร 6) ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ฆ๐ง๐ข๐ฃ ๐ข๐ฉ๐๐ฅ
MPYAA MPYAA MPYAA
APARTMENT KALI YA KISASA HII UNAZINDUA
MWENYEWE INAPANGISWA
LOCATION: KIMARA STOP OVER
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD KM 1
BODA 1000
KODI 250,000 x 6
NI VYUMBA VIWILI VYOTE MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LENYE NAFASI
TOILET PUBLIC YA NJE
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO MAJI YAKO PIA YANA FLOW NDANI
NDUGU MTEJA NYUMBA HAIPO KWENYE FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA GARI INAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300



















