2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO 4 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI KODI 400,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI DAKIKA 4 KUTEMBEA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET YA WAGENI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347