2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
300,000 x6. KIMARA SUKA
=========
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA SUKA
UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
Ipondani ya fence parking kubwa sana
-------boda boda 1000
Seble kubwa sana
Vyumba viwili vya kulala
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 15,000/
Kodi 300,000/=×6
ZINGATIA
NYUMBA HAIPO WAZI MPANGAJI ANAHAMA 30TH /12/2024
NB:NJIA YA KUINGIA KWENYE NYUMBA SIO RAFIKI KWA GARI YA CHINI
ILA KUANGALIA NDANI NA KUFANYA MALIPO LUKSA
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 300,000
CONTACT US:-
0716223412
0683597453