2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KM 1.5 UFIKAJI
NYUMBA INAPANGISHWA LAKI 8X6
PESA YA TAAZARI LAKI 8
HII NYUMBA IPO VIZURI AINA KIPENGELE CHOCHOTE TAJILI
INA VYUMBA 2 VA KULALA KIMOJA MASTER
INA JIKO KUBWA LENYE MAKABATI. MASTER KUBWA YENYE CHOO CHA KUKAA
INA PUBLIC TOILET YA NDANI
INA SEBULE
INA AIR_CONDITION
FULL AC
UMEME MITA YAKO
NYUMBA HII IPO TWO IN ONE
BEI 800000X6 PIA INA PESA YA TAAZARI
MWEZI MMOJA NI LAKI8
UKIIACHA NYUMBA IPO SALAMA
UTARUDISHIWA PESA YAKO
SERVICE CHARGE 15000
PESA YA DALALI MWEZI MMOJA
USAFIRI UPO MWINGI
KUTOKA KWENYE KITUO CHA MWENDOKASI
BAJAJI 500 DALADALA
ZA K/KOO ZIPO
SIMU
0712656027