2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK13 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU. INAKUWA WAZI TAR 10.4.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000 ==ร6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
---โ-------
Contact
๐#0693_673010
๐#0676_218580 (WhatsApp)
#DALALI_BIG_KIMARA๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐