2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KISASA YA FAMILIA NDOGO NA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
🌟 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/09/2024
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
‼️ HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET YA NDANI KWA NDANI
#JIKO KUBWA LIPO KWA NJE PEMBENI
#PARKING
#PAVING
BEI NI 240,000/= X 6
🇹🇿 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
# Simu 0757 404087