2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT NZURI INAPANGISHWA
Location: KIMARA TEMBONI
MKONO WAKULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 12 KUTEMBEA UITAJI BODA AU BAJAJI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA VIWILI VYAKULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET NZURI ๐ป
TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NYUMBA AIPO NDANI YA FENCE
USALAMA UPO WAKUTOSHA
KODI 300,000 ร 6
KUONA NYUMBA 15,000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp