2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA YA JUU IPO WAZI #BEI 350K
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BAJAJI /500 UKISHUKA TU DK 3 UPO GETINI
#BEI NI 350,000MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085
0782838336