2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(800,000X6)KIMARA TEMBONI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT KALI SANA ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI.
--------
Vyumba viwili 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko la kisasa lina makabati open kitchen
Public toilet
Maji yana flow
Full air condition
Heater ya maji moto maji baridi
Tiles
Cctv camera
Ndani ya fence
Electronic fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 20,000\/=
Kodi 800,000\/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 8
-----------
Contact
0716223412
0683597453
FOCUS_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏