2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 01/04/2025 MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LA KISASA
#DAINING TABLE
#PUBLICK ๐ฝ TOILET ๐ช
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS ZINAWEKWA
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM 1 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA ZEGE USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI DALADALA/500 UKISHUKA TU DK 5 UPO KWENYE NYUMBA
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
PIGA SIMU: 0672 673363