2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA MWISHO KM1.5 KUTOKA LAMI
---------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=×6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
------------
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara 🇹🇿