2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA KAMILI
.
LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
.
KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJI 700
.
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
.
NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE HAPA ILIPO AINA UZIO ILA INAJENGWA CKU SII NYINGI NA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
.
SERVICHAJ ELFU 15
.
CONTACT
0742260844
0657384670