2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 300k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
Usafiri ni BAJAJ Tsh. 500 ukishuka unatembea kwa Mguu Dakika 5 - 7 Kutoka Kituo Cha Bajaj
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
- Sebule Kubwa
- Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo ni Master
- Jiko Kubwa la Kisasa
- Public Toilet
- Reserve Tank (Dawasa)
• Heater
Apartment Zipo Kwenye Ndani ya Fensi Parking Ipo na Kila Apartment IInajitegemea Umeme LUKU na Maji Dawasa Yanaflow Ndani
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 TSh. 300,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni TSh. 10,000/- na Ukilipia Nyumba Malipo ya Dalali NI Mwezi Mmoja
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp & Call
0754 221168 WhatsApp & Call