2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







kodi ni 320,000 x6.
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA STOP OVER
UMBALI KM 1 .5
Ipondani ya fence parking kubwa sana
boda boda 1000
Bajaji 1000
Seble kubwa sana
Vyumba viwili vya kulala kimoja master
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 15,000/
Kodi 320,000/=×6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 320,000 SIMU 0659336751 WSP 0786085637