2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
#APARTMENT_FOR_RENT_AT_KIMARA SUKA
📍VYUMBA VIWILI VYA KULALA
📍SEBULE KUBWA
📍KIMOJA MASTER BEDROOM
📍JIKO NZURI LENYE MAKABATI
📍CHOO CHA FAMILIA
📍AIR CONDITION SEBULE NA MASTER [A/C]
📍MAZINGIRA MAZURI SANAA
📍UMEME LUKU YAKO
📍MAJI YANAFLOW NDANI
📍HEATER ZA MAJI YA MOTO
KODI NI 400,000/=×3
NYUMBA IPO KIMARA SUKA GOLANI UMBALI WA KILOMETA 3 KUTOKA MOROGORO RAOD USAFIRI NI BAJAJI AU BODA
NYUMBA ZIPO NNE NDANI YA FENSI NA MOJA NDIO IPO WAZI
#NDUGU MTEJA ZINGATIA UMBALI PLEASE AND PLEASE
SERVICE CHARGE NI TZS 20,000/=
Contact
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747