2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







450,000 x6. 0679 956 863
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK13 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BARABARA SAFI KABISA YA LAMI MBAKA GETINI
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 450,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏
0679 956 863
0759151524
0781 418 437