2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI UMEME NA MAJI DAWASA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 15 KUTOKA MOROGORO ROAD.
===================
SIFA ZAKE
===========
Ina vyumba 2 vya kulala kimoja master
Sebule kubwa
Jiko zuri
Public toilet
Rezev Simtank
Tails ###gypsum
Madirisha Aluminium
UMEME Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni Mita yako
Full paving block
Car parking space.
====================
.
Kodi laki 400,000 /=
Kwa mwezi.
==================
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
===================
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
=================
CONTACT
0742260844
0657384670