2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


*NYUMBA INAPANGISHWA KIMARA STOPOVER*
UMBALI DK 15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
KUNDI "A"
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAPA....
-SEBULE KUBWA
-CHUMBA KIKUBWA
-JIKO KUBWA
-PUBLIC TOILET NDANI
-UMEME WAKE
-MAJI UNA JITEGEMEA
-PEVING BLOCKS
BEI NI 300,000 ILIPWE MIEZI 3,4,5,6
KUNDI "B"
-SEBULE KUBWA
-JIKO(OPENI KICHENI)
-VYUMBA VIWILI VYA KULALA (HAKUNA MASTER❌❌❌)
-PUBLIC TOILET
-UMEME WAKE
-MAJI YAKE
-MLINZI WA KAMPUNI
-PEVING BLOCKS
BEI NI 350,000 ILIPWE MIEZ 3,4,5,6
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087