2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Ndani ya fence
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000X6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
---------
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π