2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
STAND ALONE KANYUMBA HAKA KANAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO LA NJE
#CHOO NA BAFU VYA NJE KWENYE FENSI YAKO MWENYEWE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI PARKING IPO
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI PAMOJA NA PESA
0718124109