2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM2 KUTOKA LAMI
-----
Vyumba 2 vya kulala hakuna master
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
------
Service charge 15,000/=
Kodi 2
350,000/=×6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni 3.5
--------
Contact
#0676_218580 (WhatsApp
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA 🇹🇿