2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO NJE, CHOO & BAFU NJE, RESERVE TANK LITA2000, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*STAND ALONE, NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA DK15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI KIMARA MWISHO, PKPK 1000/=
*KODI 220,000/= KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347