2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NEW NEW APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/10/2025 #BEI 400K
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO LENYE MAKABATI
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO 2 TU KWENYE FENSI PARKING KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS MAZINGIRA MAZURI SANA
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
Kodi 400,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.