2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI KALI YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
IPO KIMARA TEMBONI
=====
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM. 2
BAJAJI 1000/=
BODA 1000/=
=====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VIKUBWA SANA HAKUNA MASTER
CHOO NI PABLIC
SEBULE KUBWA SANA NA JIKO LENYE MAKABATI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
====
ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI
PAKING SPESI KUBWA
===
KODI. 350,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
.====