2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENT NZURI SANA KUBWA INA PANGISHWA
KODI 300,000X6
LOCATION: KIMARA MWISHO DAKIKA 10-15 KWA MGUU
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO LA MAKABATI YA JUU NA CHINI
PUBLIC TOILET
TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
0712656027



















