2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







SIMU ZIITE MIDA HII UKICHELEWA USIJA UKA MLAHUMU DALALI NYUMBA IYO YA FAMILIA
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM2 KUTOKA LAMI.
VYUMBA 2 VYA KULALA HAKUNA
MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 200,000/=ร5
#0785889413๐ฅ๐ฅ