2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA #KIMARA_SUKA DK 15 TOKA KITUONI KWA KUTEMBEA.
Kodi 25000/= × 6 Mwezi Dalali Mwezi 1 service Charge 15000 Kuona Nyumba
Sifa za nyumba
=========
Room 2 zote ni Master Bedroom
Sitting room
Kitchen
Public toilet
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Itakuwa wazi tarehe 14/6 /2025
INAFAULISHWA WAHI SASA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343