2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI 350,000X6 MPYAA KABISA
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 1.5
BODA 1000
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LINAWEKWA MAKABATI
MASTER YA KUKAA
PUBLIC YA KUCHUCHUMAA
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
ITAKUWA TIYALI KUINGIA KUANZIA TAREHE 1/10/2025
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA
UMEME WAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIM