2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE NI MASTER SEBLE JIKO MAJI NA UMEME VINAJITEGEMEA .
VYUMBA IKO KIMARA KOROGWE KILUNGULE UKISHUKA DAKIKA 2 UPO KWENYE NYUMBA . HAINA FENSI ILA IPO MTAA WA KISHUA MAZINGIRA MAZURI USALAMA ASILIMIA MIA.
NYUMBA ITAKUWA WAZI TRH 30/1/2025 .
KUANGALIA NA KULIPA RUHUSA ITAKAYOKUWA WAZI NI YA CHINI.
BEI LAKI 4 KWA MWEZI MWEZI MIEZI 6
SIMU
0712656027