2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA TEMBONI (DSM)๐น๐ฟ
VYUMBA VIWILI VYOTE MASTER VIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO LA NJE
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 24HRS
NYUMBA NDANI YA FENSI KUBWA UNALAZA HATA MAGARI 10 UMEME MAJI MITA YAKO
*NYUMBA IKO UMBALI WA KILOMETA2.5 BAJAJI
1000
KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO(DSM)๐น๐ฟ
USAFIRI UPO NI BODA 1500 BAJAJI 1000 UKISHUKA UNATEMBEA DKK2
KODI NI TSZ 250000/= KWA MWEZI
MALIPO MIEZI 4
KWA MAELEZO ZAIDI
PIGA SIMU 0659336751 wsp 0786085637
SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=