2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW
*ZIKO 3 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA 500/=
*KODI 380,000/= KWA MWEZI ILIPWE MIEZI SITA
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp Number 0689-547258