2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK15 KUTOKA LAMI KWA MIGUU BODA BUKU
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko &stoo
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Garden safi
Tiles
Gypsum
Slide window
Ndani ya fence
Parking space kubwa
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 450,000/=ร6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4.5
------------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#dalali_big_kimara๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐